Picha;Kuhusu colabo ya Mr Blue na Sugu.
TZ MZUKA
05:19
0
Mr Blue amethibitisha kuwa amefanya kazi na Sugu na kwamba wimbo umerekodiwa Mj Records. Blue anasema amemkubali Sugu Freedom , Ni stori ya Kijana ameondoka nyumbani kwao sababu hakuna amani, ameenda kutafuta maisha yake.