Birdman Ndio Boss,Kasema Haya Kuhusu Lil Wayne Kujitoa Young Money Na Album Yake.
TZ MZUKA
13:33
0

Tmz imepata taarifa kutoka kwa watu wa karibu ni Birdman kuwa Jamaa alichukizwa sana na kauli ya Lil Wayne kwenye twitter kuwa “Anajiskia kama mfungwa na kwamba album yake ya Carter V inazuiliwa kutoka” .
Ukizingatia mikataba mikali wanayokuwa nayo Young Money, Birdman ameweka jambo hili wazi kuwa ataenda mahakamani kuzuia kujitoa kwa Lil Wayne Young Money.
Kuhusu album mpya ya Wezzy kutoka Birdman amesema “mambo muhimu ya biashara lazima yafuatwe ili album itoke vizuri, haya mambo Lil Wayne hayajiu ndio maana analalamika ” Album itatoka atakapo amua Birdman