Matokeo Na Picha Za Simba Vs Yanga, @NaniMtaniJembe
TZ MZUKA
10:58
0
Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 2 kwa 0 dhidi ya Simba
kwenye mechi ya #NaniMtaniJembe2 .Magoli ya simba yamefungwa na Awadh
Juma na Elias Maguri nakuwafanya Simba watoke kifua mbele.
Hii ni mara ya pili Simba wanashinda #MtaniJembe, Mwaka jana walishinda kwa bao 3 -1 dhidi ya Yanga.