Picha za Rolene Strauss Baada Ya Kushinda Miss World 2014.
TZ MZUKA
14:49
0

Rolene mwenye miaka 22 ambaye ni mwanafunzi anayesomea udaktari alisema “Hii kwaajili ya Afrika Kusini, nitajipanga kwaajili ya kinachokuja kutokea, haya ni majukumu makubwa sana ”
Megan naye alisema ” Natarajia Rolene atakuwa na furaha kwenye mwaka wake kama mimi ”
Mshindi wa pili ni Edina Kulcsar wa Hungary na watatu ni kutoka Marekani Elizabeth Safrit.




