Video Tatu Kutoka Nigeria Zimetazamwa Zaidi Youtube Mwaka Huu.
TZ MZUKA
13:38
0

Video inayofata kwenye orodha hio ni “Dorobucci” ya Mavins ambao ni Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D’Prince, Reekado Banks, Korede Bello, Di’J. Video namba tatu ni video ya Tiwa Savage’s “Wanted”.