Baada ya Nikki Mbishi kutangaza kuacha muziki, haya ndio maneno ya Chid Benz
TZ MZUKA
05:29
0
Baada ya msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aka Baba Malcom kutangaza kuwa ameacha kufanya kazi ya muziki sasa Chid Benz amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa ameshafanya mazungumzo na msanii huyo na kumtaka asichukue uamuzi huo mapema kwani yeye amepitia katika changamoto hizo.
