Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» »Unlabelled » COPA DEL REY: MESSI AIPA USHINDI BARCA COPA DE REY


TZ MZUKA 23:08 0


COPADELREY-BARCAvATLETI-SSLIONEL MESSI ameipa Barcelona ushindi wa Bao 1-0 Jana Usiku Uwanjani Nou Camp walipocheza na Atletico Madrid katika Mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Mfalme wa Spain, Copa del Rey.
Bao hilo lilifungwa Dakika ya 85 baada ya Messi kupiga Penati ambayo Kipa Jan Oblak aliikoa na Mpira kumrudia Messi aliefunga.
Timu hizi zitarudiana tena Jumatano Januari 28 huko Vicente Calderon.
VIKOSI:
Barcelona: Ter Stegen; Alves, Mascherano, Piqué, Alba; Busquets, Rakitic, Iniesta; Suárez, Messi, Neymar
Akiba: Masip, Bartra, Adriano, Xavi, Sergi Roberto, Rafinha, Pedro.
Atlético: Oblak; Juanfran, Miranda, Godín, Siqueira; Mario Suárez, Gabi, Koke, Arda; Griezmann, Torres
Akiba: Moyà, Giménez, Gámez, Ñíguez, García, Mandžukić, Jiménez.
REFA: José Luis González González
COPA DEL REY
ROBO FAINALI
**Saa za Bongo
Jumatano Januari 21
Villareal 1 Getafe 0
FC Barcelona 1 Atletico Madrid 0
Malaga 0 Athletic Bilbao 0
Alhamisi Januari 22
0001 Espanyol v Sevilla
Jumatano Januari 28
2300 Atletico Madrid v Barcelona
Alhamisi Januari 29
2200 Getafe v Villareal
0001 Sevilla v Espanyol
0001 Atletic Bilbao v Malaga
NUSU FAINALI
Februari 11 & Machi 4
Malaga/Athletic Bilbao v Espanyol/Sevilla
Villareal/Getafe v Atletico Madrid v Barcelona
FAINALI
Mei 30
++++++++++++++++++++++++++++
COPA DEL REY
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
MATOKEO
Marudiano 
**Kwenye Mabano Jumla ya Mabao kwa Mechi 2
Jumanne Januari 13     
RCD Espanyol 2 Valencia C.F 0 [3-2]
Levante 3 Malaga CF 2 [3-4]
Jumatano Januari 14
Athletic de Bilbao 0 Celta de Vigo 2 [4-4, Athletic yasonga Bao za Ugenini]
Real Sociedad 2 Villarreal CF 2 [2-3]    
Getafe CF 1 UD Almeria 0 [2-1] 
Sevilla FC 4 Granada CF 0 [2-1]
Alhamisi Januari 15
Real Madrid 2 Atletico Madrid 2 [2-4]
Elche 0 FC Barcelona 4 [0-9]

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani