Jibu La Game,Kuhusu Kumaliza Beef na Kufanya Kazi Tena Na 50 Cent.
TZ MZUKA
02:11
0

Rappa Game amemjibu shabiki kupitia Instagram,aliyemuuliza kuhusu kupatana na kufanya kazi na 50 Cent.
Shabiki alitaka kujua kama kunauwezekano wa Game kumaliza beef lake na 50 Cent na labda kufanya show pamoja kwenye jukwa moja.
Game alimjibu ” Show itauza kupitiliza kila mahali itakapokwenda na tutazima kila kitu kitakachokuwa kinaendelea kwenye hiphop wakati huo,Ila uaduwi wangu na 50 Cent una nguvu sana na kitu kama hicho hakiwezi kutokea” #SomeShitJustIsWhatItIsBlood.

