Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » KINANA aridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM wilayani WETE


TZ MZUKA 14:49 0

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ABDULRAHMANI KINANA ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini PEMBA na kueleza kuridhishwa na utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi -CCM- katika Wilaya ya WETE mkoani humo.

Kinana amesema hayo katika Uwanja wa MTEMANI Wilaya ya WETE Mkoa wa Kaskazini PEMBA na kuongeza kuwa katika kipindi kifupi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ya Umoja wa Kitaifa imefanikiwa kutekeleza vyema ilani ya CCM .

Mkoa wa Kaskazini PEMBA ni miongoni mwa mikoa Kisiwani PEMBA iliyoweza kufanikiwa kuongoza ndani ya majimbo kwa muda mrefu.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani