VIDEO;Madee ametoa hiki kionjo cha video yake mpya- Vuvula
TZ MZUKA
11:16
0
Utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya rais wa Manzese, Madee‘Vuvula’ sasa time hii amekusogezea hiki kionjo cha video hiyo mpya.
Video hiyo mpya inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwezi Feb tarehe 7 kwenye ukumbi wa ufukwe wa bahari Escape One Mikocheni Dar es Salaam.
Tazama hapa