Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Maneno ya Said Fela kuhusiana kufungwa kwa maduka ya Kariakoo


TZ MZUKA 00:59 0


Kufuatia wafanyabiashara wa Kariakoo kufunga maduka yao Jan 27, Meneja wa taasisi ya Mkubwa na Wanae, Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fella ameyatoa ya moyoni kuhusiana na tukio hilo.
Kikubwa ni kuangalia nini tatizo maana wananchi wanasema kwamba wanaonewa kwa hiyo Serikali ifike wakati waangalia wananchi wanaonewa kitu gani, wanasema kule wanapolipa tozo TRA kuna utaratibu wa kulipa faini yako, la msingi wao wanachogombania kule ni kwamba biashara zote zitumike kwa machine kwani unakuta mtu mwingine mtaji wake mdogo anauza jeans alafu unamwambia anunue machine laki tano au laki tatu huo msingi wake haufanani na hizo hela za kwenda kununua hiyo machineni,ni vyema Serikali ikae na wananchi wazungumze suala hilo“—- Alisema Said Fela

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani