PICHA;Baba yao P Square alifariki Nov 2014, kazikwa hivi leo Jan 30
TZ MZUKA
13:32
0
Mzee Moses okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo leo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.