Toleo jipya la Baabkubwa na list ya Warembo bora Bongo
TZ MZUKA
09:46
0
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote, leo tunaungana na toleo jipya la jarida maarufu Baabkubwa ambalo time hii wametuweka list ya Warembo 10 wazuri zaidi Bongo ambapo katika list hiyo Jokate Mwengelo, Elizabeth Michael, Vanessa Mdee, Irene Uwoya na Aunt Ezekiel.
Kama unahitaji kuona mwendelezo wa list ya warembo wengine waliotajwa katika jarida basi jipatie nakala yako kwasasa linapatikana mitaani.