Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » DE GEA;Taarifa kuhusu mkataba wa De gea Manchester United


TZ MZUKA 03:16 0

Wakala wa mchezaji David De Gea - Jorge Mendes amesema ameanza mazungumzo na Manchester United juu ya mkataba mpya wa De Gea. Wakati huo huo vyombo vya habari vinasema Madrid wamemgeukia kipa wa Chelsea Thibaut Courtois baada ya De Gea kuamua kubaki United.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani