Marco Reus;Taarifa kuhusu mkataba wa Marco Reus Dortmund
TZ MZUKA
04:40
0
Marco Reus amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Dortmund mpaka 2019 - akizitosa timu kadhaa zilizokuwa zikitajwa kumuwania ikiwemo Arsenal, Madrid, Chelsea na City.