PICHA;Amber Rose ndani ya Nigeria kwenye party ya miaka 10 ya D’Banj kwenye muziki
TZ MZUKA
00:20
0
Juzi January 31 kafanya party Lagos, Nigeria, staa mwanamitindo kutoka Marekani ambaye alikuwa mpenzi wa Rapper Wiz Khalifa, Amber Rose alishuka Lagos Naija, kumpa shavu D Banj kwenye celebration ya miaka 10, Amber alikuwa MC kwenye event hiyo.
Koko Master’, D’Banj mtu mkubwa kwenye muziki anayeiwakilisha Nigeria na Afrika kwenye ramani ya dunia hakika anajivunia mengi kwenye safari yake, mafanikio ya kufanya kazi na lebo ya GOOD MUSIC ya Kanye West ni zawadi kubwa kwake kwenye hii miaka kumi.