USAJILI;Cuadrado katua Chelsea Ricky Lambert kujiunga na Aston Villa
TZ MZUKA
12:43
0
Cuadrado tayari kashajiunga na jeshi la Mourinho kutoka Fiorentina
Ricky Lambert huenda akajiunga na Aston Villa kwa ada ya £5m kutoka Liverpool
Andre Schurrle ameenda Wolfsburg ya Ujerumani
Ricky Lambert huenda akajiunga na Aston Villa kwa ada ya £5m kutoka Liverpool