Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 1 vs 0 ATLETICO MADRID JAVIER HERNANDEZ AIPELEKA REAL NUSU FAINALI!


TZ MZUKA 13:58 0

 Javier Hernández aliwafungia bao Real Madrid dakika za majeruhi na kufanya 1-0 dhidi ya Atletico Madrid, Ni Baada ya kupewa pasi ndani ya boksi na Staa wa Real Cristiano Ronaldo na kufunga bao hilo la Ushindi. Real wamesonga hatua ya Nusu faonali kwa Ushindi wa bao la Chicharito. Mtanange huu pia Atletico Madrid walimaliza pungufu wachezaji 10 Uwanjani baada ya mwenzao Arda Turan kuoneshwa kadi njano ya pili na kuoneshwa kadi Nyekundu kwa kumchrzea rafu mbaya mchezaji wa Real Madrid Sergio Ramos.
VIKOSI:

Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Ramos, Coentrao, Pepe, Kroos, Isco, Rodriguez, Ronaldo, Hernandez.
Akiba: Navas, Arbeloa, Khedira, Lucas Silva, Illarmendi, Jese. 

Atletico Madrid: Oblak, Juanfran, Miranda, Godin, Jesus Gamez, Tiago, Koke, Saul, Arda, Griezmann, Mandzukic.
Akiba: Moya, Siqueira, Gimenez, Raul Garcia, Gabi, Jimenez, Torres.
Refa: Felix Brych 


Matokeo mengine Juventus ya Italia nayo imefanikiwa kuingia nusu fainali baada ya kupata ushindi wa jumla dhidi ya Monaco.
Kwa matokeo hayo FC Barca, Bayern Munich, Real Madrid na Juventus ndio timu nne zilizoingia kwenye nusu fainali ya UCL na ratiba ya mechi zao itapangwa rasmi Ijumaa wiki hii.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani