NEW VIDEO : Maua Sama Featuring Ben Pol - This Love (Official Video)
TZ MZUKA
01:31
0
Baada ya nyimbo nne kufanya vizuri kwenye radio bila video, msanii Maua
Sama ametoa video yake ya kwanza ‘This Love’ aliyofanya na Staa wa rnb
Ben Pol. Video ni kazi ya Hanscana na Audio ni mkono wa Ema The Boy.