Rihanna na Karim Benzema wazidi kuruka viwanja(PICHA)
TZ MZUKA
04:18
0
Msanii Rihanna ameripotiwa kuwa karibu zaidi na mwanasoka wa Klabu ya Real Madrid Karim Benzema. Jumatatu hii Riri na Karim walikuwa pamoja Hollywood kwenye Night Club ambapo mapaparazzi walipata nafasi ya kupiga picha zao.