Sports
Entertainment
Music
Video
News
Video
Kupitia kurasa yake ya twitter Wiz anasema hakuhudhuria tuzo hizo zilizofanyika jumapili ya tarehe 28 June sababu hakuona maana kama angepata tuzo angeipokea saa nne asubuhi kabla ya show, Wiz anaendelea kusema kuwa hana imani na tuzo sababu ni watu wamekuja pamoja kutayarishwa show yao tu.
Usiku wa KTMA hapo jana ni usiku uliotupa majibu na kufanya tuwafahamu wakali kutoka Tanzaniaambao kwa nafasi zao kwenye muziki walipigiwa kura na Wananchi na kupata TUZO zao.Miongoni mwa watu waliopata tuzo ni pamoja na ,Jux alipata tuzo ya Wimbo bora wa Rnb baada ya ushindi huo Mke wa Mabeste alitoa ya moyoni kwa Jux.Kwenye sentensi yake alianza kwa kuandika>>’@juma_jux @juma_juxtaposed to@juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million’Hapa anaendelea ‘Alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kutaka aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick….‘Upande mwingine ameandika ‘I was your no.1 fan ndio maana@mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager!‘Kingine alichokiandika ‘Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste‘Mwisho akamalizia kwa kuandika ‘The bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux@juma_jux‘Hata hivyo Post hii haikukaa muda mrefu baadae ikawa imefutwa,Mke wa Mabeste kwenye Instagram anatumia jina la lisa_fickenscher.
Ushindani ulikuwa mkubwa sana katika vipengere vyote vilivyowaniwa na wasanii hata makundi mbalimbali ya muziki tanzania na afrika mashariki.
Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubisi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.
Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.
KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)
JAHAZI MORDEN TAARAB
MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)
JOSE MARA
MWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU)
WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA)
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)
WIMBO BORA WA RNB
MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)
MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA)
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
WIMBO BORA WA HIP HOP
WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
MSANII BORA WA HIP HOP
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
MTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI)
MTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP)
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA)
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU)
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI)
VIDEO BORA YA MWAKA
WIMBO BORA WA AFRO POP
WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA
WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA
MSANII BORA CHIPUKIZI
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
BENDI BORA YA MWAKA
MTUNZI BORA WA MWAKA

KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA)
YA MOTO BAND
KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)
JAHAZI MORDEN TAARAB
MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)
JOSE MARA
MWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU)
ISHA MASHAUZI
WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA)
MWANA(Alikiba)
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
WALE WALE(Fm Academia)
MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)
MZEE YUSUPH
WIMBO BORA WA RNB
SISIKII(Jux)
MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)
VANESSA MDEE
MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA)
ALI KIBA
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
VANESSA MDEE
MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
ALI KIBA
WIMBO BORA WA HIP HOP
KIPI SIJASIKIA(PROF JAY)
WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
LET THEM KNOW(Maua)
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
FEGASON
MSANII BORA WA HIP HOP
JOH MAKINI
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
SURA YAKO (Sauti Sol)
MTUNZI BORA WA MWAKA (TAARABU)
MZEE YUSUPH
MTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI)
JOSE MARA
MTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP)
JOH MAKINI
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA)
NAH REAL
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU)
ENRICO
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI)
AMOROS
VIDEO BORA YA MWAKA
MDOGO MDOGO(DIAMOND)
WIMBO BORA WA AFRO POP
MWANA(AliKiba)
WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA
NTAMPATA WAPI(Diamond)
WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA
WAITE(Mrisho Mpoto)
MSANII BORA CHIPUKIZI
BARAKA DA PRINCE
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
KIBOKO YANGU(Mwana FA feat Ali Kiba)
BENDI BORA YA MWAKA
FM ACADEMIA
MTUNZI BORA WA MWAKA
ALI KIBA
Winga wa England Raheem Sterling, 20 hana tatizo na uwezekano wa kuhamia
Manchester United kutoka Liverpool, ingawa mchezaji huyo ana wasiwasi
kuhusu jinsi uhamisho huo utakavyopokelewa, kwa kuzingatia uhasama baina
ya timu hizo mbili (Guardian), Liverpool wanasisitiza kuwa hawatofanya
biashara yoyote na mahasimu wao wa Manchester (Liverpool Echo)
, Radamel Falcao, 29, anataka kukamilisha uhamisho wake kwenda Chelsea kabla ya michuano ya Copa America kuanza Juni 14 (Daily Telegraph),
Dick Advocaat atapewa pauni milioni 50 za kukijenga kikosi cha Sunderland baada ya kukubali kuongeza mkataba wake wa kuwafunza Paka Weusi (daily Mirror),
Beki wa Bayern Munich kutoka Brazil, Dante, 31 amekataa kuhamia Manchester United baada ya kusema ana nafasi ya kushinda makombe mengi zaidi akiwa na klabu yake ya Ujerumani (Daily Star),
Manchester United wapo tayari kumuuza Nani msimu huu na huenda akaelekea Inter Milan na sio Sporting ambapo amecheza kwa mkopo msimu uliopita (Independent),
Sampdoria ya Seria A inajiandaa kumsajili beki wa kati wa Chelsea Kurt Zouma, 20 kwa mujibu wa rais wa klabu hiyo ya Italia (Metro),
Dani Alves, 32, amekubali mkataba wa awali na Manchester United na atahamia Uingereza tarehe 1 Julai (Daily Star),
Kiungo wa Southampton, Victor Wanyama, 23 amesema "itakuwa vizuri" kujiunga na Arsenal (Daily Mail),
Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers imeripotiwa amemfukuza mwalimu wa kikosi cha kwanza Mike Marsh (Sun),
Mshambuliaji wa QPR Charlie Austin anasakwa na Tottenham, Newcastle, Aston Villa na Southampton kwa pauni milioni 10 na ameonesha ishara kuwa yuko tayari kuihama klabu yake iliyoshuka daraja (Daily
Express),
Arsenal wanajiandaa kutoa dau la pauni milioni 25 kumsajili kiungo wa Monaco Geoffrey Kongodbia, 22, ikiwa watamkosa Morgan Shneiderlin wa Southampton (Independent),
Liverpool wamepata matumaini makubwa ya kumsajili kipa wa Sporting Lisbon, Rui Patricio, 23 baada ya klabu hiyo ya Ureno kumsajili Azbe Jug kutoka Slovenia (Daily Express),
Manchester United wanajiandaa kumsajili kipa wa Galatasaray Fernando Mulsera, 28, kuziba nafasi ya David De Gea anayeelekea Real Madrid (Metro), wakati huohuo winga wa Manchester United Ashely Young, 29 anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu mwezi ujao kusalia Old Trafford (Daily Mirror),
Paris St-Germain wamemfanya winga wa Manchester United Angel Di Maria, 27, kuwa mchezaji kipaumbele wa kumsajili msimu ujao (TalkSport), hata hivyo Di Maria amesema atasalia Old Trafford msimu ujao licha ya kutokuwa na msimu mzuri (Sun),
Beki wa Ubelgiji Jan Vertonghen, 28, anapanga kusaini mkataba mpya msimu ujao Tottenham, licha ya kuhusishwa na kuhamia Napoli (Times).

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Popular Posts
-
Usiku wa KTMA hapo jana ni usiku uliotupa majibu na kufanya tuwafahamu wakali kutoka Tanzania ambao kwa nafasi zao kwenye muziki wali...
-
Mtangazaji wa Mkazi na jaji wa mashindani ya vipaji Tanzania [bss] Salama J ametoa mtazamo wake kwa mahache kupitia twitter kuhusu vi...
-
Baada ya nyimbo nne kufanya vizuri kwenye radio bila video, msanii Maua Sama ametoa video yake ya kwanza ‘This Love’ aliyofanya na Staa w...
-
Real Madrid imeendelea kuifukuza Barcelona kwa kuitwanga Celta Vigo kwa mabao 4-2. Mabao ya Madrid yalipachikwa wavuni na To...