Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » » Mwanamichezo aliyestaafu anayeingiza pesa nyingi zaidi.


TZ MZUKA 13:50 0

Mtandao wa Forbes umetangaza kuwa mcheza kikapu wa zamani Michael Jordan anatengeneza dola za Kimarekani milioni 100 kwa mwaka kupitia Nike na kampuni zingine. Anatengeneza pesa nyingi zaidi kuliko mwanamichezo yeyote aliyestaafu.
Mwaka jana alitengeneza dola milioni 90, mwaka jana mauzo ya bidha za Jordan yaliongezeka kwa asilimia 17 na kufikia dola bilioni 2.6 kwa mujibu wa sportscaninfo.
Jordan anarekodi ya kuuza mara kumi zaidi ya wachezaji wengine wenye viatu kama Lebron James.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani