Ratiba ya michezo yote ya EPL ya wikiendi hii
TZ MZUKA
23:38
0
Ligi Kuu ya Uingereza inataraji kuendelea
wikiendi hii kwa michezo nane ya mzunguko wa 27 iliyochezwa kwenye
viwanja mbalimbani tofauti nchini humo.
Kila timu inaonyesha kujiandaa kufanya
vizuri katika kuhakikisha inapata matokeo mazuri ili kujiweka kwenye
nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi hiyo yenye ushindani wa hali ya juu
sana msimu huu.
Chelsea bado wanashikilia usukani wa
Ligi wakiwa na pointi 60 wakifuatiwa na Manchester City wanayoshika
nafasi ya pili wakiwa na pointi 55 wakati Leicester City wakiendelea
kushika mkia kwa kuwa na pointi 18.
RATIBA KAMILI
Jumamosi | |||
15:45 | West Ham United | vs | Crystal Palace |
18:00 | Burnley | vs | Swansea City |
18:00 | Manchester United | vs | Sunderland |
18:00 | Newcastle United | vs | Aston Villa |
18:00 | Stoke City | vs | Hull City |
18:00 | West Bromwich Albion | vs | Southampton |
Jumapili | |||
15:00 | Liverpool | vs | Manchester City |
17:05 | Arsenal | vs | Everton |