GERRARD, AIBEBA LIVERPOOL KOMBE LA FA
TZ MZUKA
22:15
0
Ilikuwa mechi ya Kombe la FA raundi ya tatu, Wimbeldon ilijaribu kuonyesha makali kwa bao la Akinfenwa lakini nahodha Steven Gerrard akaonyesha bado wamo.
Gerrard ndiye alifunga mabao yote mawili ya Liverpool na kuipa timu yake ushindi wa mabao 2-1.
Ushindi huo wa ugenini wa Liverpool, huenda ukaamsha hisia mpya zinazohusiana na nahodha huyo kutangaza kutaka kuondoka mwishoni kwa msimu huu.
AFC Wimbledon: Shea 6.5, Fuller 7, Goodman 6.5, Barrett 7.5, Kennedy 6.5; Francomb 7.5 (Pell 86), Bulman 6, Moore 6 (Sutherland 86), Rigg 7.5 (Azeez 77); Akinfenwa 7, Tubbs 7
Subs not used: Bennett, Oakley, McDonnell, Harrison
Goals: Akinfenwa (36)
Bookings: Akinfenwa, Fuller, Goodman
Liverpool: Mignolet 5; Can 5, Skrtel 6, Sakho 5; Manquillo 6 (Jose Enrique 71, 5), Henderson 6, Lucas 6, Markovic 6.5 (Toure 86); Coutinho 7, Lambert 5 (Balotelli 77), Gerrard 8
Subs not used: Moreno, Borini, Williams, Ward
Goals: Gerrard (12, 62)
Bookings: Coutinho
Referee: J Moss 7