Hii Kutoka Kwa Ali Kiba Baada Ya Watazamaji Laki 3 kwenye Video ya Mwana.
TZ MZUKA
12:35
0
Video ya Ali Kiba “Mwana” imefikisha watazamaji 311,315 kwenye mtandao wa Youtube. Kupitia instagram take Ali Kiba aliweka ujumbe huu kwa mashabiki wake.
Anza kumuita King Kiba Kuanzia Leo kama unavyoona tag hio #KingKiba.



