FA CUP: DROO YA RAUNDI YA 4 YATOKA IKO HAPA
TZ MZUKA
13:13
0

DROO ya kupanga Mechi za Raundi ya 4 ya FA CUP imefanyika Usiku huu na Cambridge United, ambayo
ndio ipo Daraja la chini kabisa, watakuwa Wenyeji wa Manchester United.
Cambridge United, ambao waliwahi kufika Robo Fainali ya FA CUP mara mbili Miaka ya 1990 na 1991, wapo Nafasi ya 14 katika Ligi la Daraja la chini, Ligi 2.
Mabingwa Watetezi, Arsenal, watakuwa Ugenini kucheza na Brighton & Hove Albion ambayo ipo Daraja la chini ya Ligi Kuu England, Championship.
PATA DRO0 KAMILI:
FA CUP
DROO KAMILI
** Mechi za Raundi ya 4 zitachezwa Januari 24 na 25.
Cambridge United v Manchester United
Chelsea v Millwall/Bradford City
Southampton/Ipswich v Crystal Palace
Blackburn Rovers v Swansea City
Derby v Scunthorpe/Chesterfield
Preston North End v Sheffield United
Birmingham City v West Bromwich Albion
Aston Villa v Bournemouth
Cardiff City v Reading
AFC Wimbledon/Liverpool v Bolton Wanderers
Burnley/Tottenham Hotspur v Leicester City
Brighton & Hove Albion v Arsenal
Rochdale v Stoke City
Sunderland v Fulham/Wolves
Doncaster/Bristol City v Everton/West Ham
Manchester City v Middlesbrough
TAREHE ZA RAUNDI:
-Raundi ya 4: 24 Januari 2015
-Raundi ya 5: 14 Februari 2015
-Raundi ya 6: 7 Machi 2015
-Nusu Fainali: 18 & 19 Aprili 2015
- -Fainali: 30 Mei 2015