Jinsi Torres alivyotambulishwa Atletico Madrid hii leo
TZ MZUKA
10:32
0

Imetokea hiyo kwa Fernando Torres ambaye ametambulishwa leo January 4 2014 mbele ya mashabiki wa timu ya Atleticio Madrid baada ya kukamilika kwa usajili wake wa mkopo wa miezi 18 toka AC Milan.
Mashabiki wapatao 40,000/= waliujaza uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid maarufu kama Estadio Vicente Calderon wakiwa wamevalia jezi za Atletico Madrid na wengine wakiwa na jezi za timu za zamani za mshambuliaji huyo.