LIGI KUU ENGLAND: MAN UNITED YAIBAMIZA LEICESTER, STURRIDGE ARUDI NA USHINDI KWA LIVERPOOL
TZ MZUKA
09:27
0
Man United walipata Bao la Kwanza kwenye Dakika ya 27 baada ya Daley Blind kumtengenezea Mfungaji Robin van Persie na Bao la Pili kuja Dakika ya 32 kufuatia Shuti la Angel Di Maria kumaliziwa na Radamel Falcao.
Dakika ya 44, Man United walifunga Bao la 3 baada ya Wes Morgan kujifunga mwenyewe.
Katika Dakika ya 80, Marcin Wasilewski alifunga Bao pekee la Leicester kwa Kichwa.
Huko Anfield, Liverpool waliichapa West Ham Bao 2-0 kwa Bao za Raheem Sterling, Dakika ya 51, na Daniel Sturridge, Dakika ya 80.
Sturridge, ambae alikuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitano baada ya kuumia, aliingizwa Dakika ya 68 kumbadili Markovic na hii ilikuwa ni Mechi yake ya kwanza kabisa.
VIKOSI:
Man United: De Gea, Valencia Mata-77'), Jones, Rojo, Shaw, Blind, Rooney, Januzaj, Di Maria, van Persie McNair-68), Falcao (Wilson-80)
Akiba: Mata, Smalling, Ander Herrera, Fellaini, Valdes, McNair, Wilson.
Leicester: Schwarzer, Simpson, Wasilewski, Morgan, De Laet, Vardy (Cambiasso-45), Drinkwater, King, Schlupp, Ulloa (Nugent-62), Kramaric (Albrighton-62).
Akiba: Konchesky, Upson, Hammond, Albrighton, Hamer, Cambiasso, Nugent.
Refa: Martin Atkinson
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Januari 31
Hull 0 Newcastle 3
Crystal Palace 0 Everton 1
Liverpool 2 West Ham 0
Man United 3 Leicester 1
Stoke 3 QPR 1
Sunderland 2 Burnley 0
West Brom 0 Tottenham 3