Muonekano mpya wa msanii Nazizi wa Kenya. TZ MZUKA 13:09 0 Msanii Nazizi ameshangaza wengi kwa picha aliyoweka instagram saa tano zilizopita iliyoonyesha muonekano wake mpya na jinsi alivyopunguza mwili wake. Tags : Entertainment Share !