Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Young Killer kurudi shule mwaka huu 2015


TZ MZUKA 11:28 0

 Tumeona baadhi ya wasanii ambao bado wapo kwenye masomo lakini wakifanya kazi zao za muziki akiwemo, StereoM Rap LionBen PolNikki wa Pili na wengineo, sasagoodnews ninayokusogezea ni hii kutoka kwa mkali wa Hiphop kutoka ROCK CITY Mwanza, Young Killer ambaye kwa mwaka 2015 amesema  atajikita zaidi katika masomo yake.



rapper huyo amesema; ‘Nadhani utakuwa ni mwaka mzuri pia wa kuendeleza masomo yangu kwasababu mwaka jana niliwahidi watu  na nirudi kweli ila kuna vitu kidogo viliingiliana ikabidi ni stop ila mwaka huu nina plan za kurudi shule.
Nadhani inaweza ikawa mwezi wa tano inshallah mwenyezi mungu akibariki kwa sasa hivi najaribu kuweka mipango sawa, sababu zilizopelekea ni mambo ya kazi zangu yalikuwa yanaingiliana… nikafanya kazi nikusanye pesa ili niweze kujisomesha, mwaka huu kazi nitakuwa nafanya ila nitabase sana kwenye masomo zaidi”Young Killer.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani