FA CUP;MANCHESTER UNITED NA CAMBRIDGE MATOKEO YAKO HAPA
TZ MZUKA
14:53
0
VIGOGO wa England, Manchester United, wamerudiana mchezo wa FA CUP raundi ya 4 na cambridge united na Manchester united kuibuka na ushindi wa magoli 3 -0 Manchester walijipatia mabao yao dakika ya (25)Juan Mata Marcos Rojo (32 ) na James Wilson (73')