Chris Brown na Tyga hii ndio video yao mpya Ayo
TZ MZUKA
23:30
0
Msanii wa rnb Chris Brown na rapa Tyga wamekamilisha video ya wimbo wao mpya “Ayo,” ikiwa ndio wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yao ya pili ya Fan of a Fan 2. Mwongozaji wa video ni Colin Tilley.
Album inatoka Feb 24 na kunawasanii kama 50 Cent, Pusha T, ScHoolboy Q, Boosie Badazz, T.I., Wale, na Ty Dolla $ign.