Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Full TIME;Afcon2015 DR Congo vs Ivory Coast


TZ MZUKA 13:23 0


Ivory Coast imekuwa timu ya kwanza kutinga fainali katika michuano yaAFCON2015 kwa kuifunga Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) kwenye uwanja wa Estadio de Bata  kwa magoli matatu kwa moja.
Ilikuwa ni Ivory coast walionza kujipatia bao kwa suti kali lililopigwa na Yaya toure na kumshinda mlinda mlango mnamo dakika 21 dakika ya 24 Congo wakasawazisha kwa njia ya penati kupitia kwa mchezaji wao Mbokani , dakika 4 kabla ya mapumziko  Gervinho akaifungia timu yake goli la tatu kipindi cha pili katika dakika 68 Kanon 68 akaindikia timu yake goli la tatu mpaka dakika 90 zinakwisha Ivory Coast 3 vs DRC 1.
Ivory Coast wanasubiria mshindi kati ya Guine na Ghana nusu fainali ya pili itayochezwa jumatano leo saa 22:00
Timu zilipangwa hivi
Democratic Republic of CongoKidiaba, Mpeko, Kassusula, Zakuani, Kimwaki, Mbemba, Makiadi (Ndombe 79'), Mabwati (Kebano 69'), Bolasie, Bokila, Mbokani (Kabananga 61')

Ivory CoastGbhouo, Kanon, Toure, Bailly, Aurier, Tiene (Diarassouba 72'), Toure, Die, Gradel (Kalou 62'), Gervinho, Bony (Traore 90+2


«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani