Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Jay z na Beyonce kuhamisha makazi yao,Hizi Picha za samba kuhusu ugomvi wao kwenye mgahawa mjini LA.


TZ MZUKA 11:10 0


Rapa Jay Z na mke wake ambaye ni msanii wa rnb Beyonce wameripotiwa kuhamia mjini Los Angelos na kusitisha makazi yao mjini New York walipoishi kwa muda mrefu.
Mpaka sasa wawili hawa wanatafuta nyumba nzuri ya kuishi LA na kwamba tayari wamemuandikisha mtoto wao wa kwanza Blue Ivy kwenye shule ya chekechea ambayo ina ada kubwa kuliko kwa mwaka. Tmz imesema ada ya shule hio ni takriban dola 15,080 ambazo ni kama milioni 24.5 za bongo.
Beyonce akizozana na Jay Z wakati wakipata chakula



«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani