UEFA CHAMPIONZ LIGI: DIMBANI WIKI IJAYO, PATA WACHEZAJI WAPYA KILA KLABU WALIORUHUSIWA KUSAINI!
TZ MZUKA
09:52
0
WIKI iliyopita ndio ilikuwa mwisho kwa Klabu zilizo Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI kusajili Wachezaji wapya wasiozidi Watatu kwa ajili ya Mashindano hayo.
IFUATAYO NI LISTI YA WACHEZAJI HAO WAPYA:
Arsenal FC
-Olivier Giroud, Francis Coquelin, Gabriel Paulista (Villarreal CF)
AS Monaco FC
-Matheus Carvalho (Fluminense FC, Mkopo), Alain Traoré (FC Lorient, Mkopo)
Bayer 04 Leverkusen
-David Yelldell
Borussia Dortmund
-Kevin Kampl (FC Salzburg)
Chelsea FC
-Juan Cuadrado (ACF Fiorentina), Isaiah Brown
Club Atlético de Madrid
-Cani (Villarreal CF, Mkopo), Fernando Torres (AC Milan)
FC Basel 1893
-Adama Traoré (Vitória SC)
FC Bayern München
-Pepe Reina, Tom Stark
FC Porto
-Hernâni (Vitória SC), Helton, Diego Reyes
FC Schalke 04
-Joy-Lance Mickels, Matija Nastasić (Manchester City FC, Mkopo)
Juventus
-Paolo De Ceglie (Parma FC, Amerejea toka Mkopo), Alessandro Matri (Genoa CFC), Stefano Sturaro (Genoa CFC, Amerejea toka Mkopo)
Manchester City FC
-Wilfried Bony (Swansea City AFC)
Real Madrid CF
-Machitin Ødegaard (Strømsgodset IF), Lucas Silva (Cruzeiro EC)
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku, Bongo Taimu
RATIBA
Jumanne 17 Februari 2015
FC Shakhtar Donetsk – Ukraine vs Bayern Munich - Germany
Paris Saint-Germain – France vs Chelsea FC - England
Jumatano 18 Februari 2015
Schalke 04 – Germany vs Real Madrid CF - Spain
FC Basel 1893 – Switzerland vs FC Porto - Portugal
Jumanne 24 Februari 2015
Juventus FC – Italy vs BV Borussia Dortmund - Germany
Manchester City - England vs FC Barcelona - Spain
Jumatano 25 Februari 2015
Arsenal FC vs AS Monaco FC
Bayer 04 Leverkusen vs Atletico de Madrid