Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Chris Brown ni baba wa mtoto mwenye miezi 9!


TZ MZUKA 23:29 0

Kwa mujibu wa TMZ, muimbaji huyo wa R&B ana mtoto wa kike mwenye umri wa miezi tisa.
Mama wa mtoto huyo ni model wa zamani mwenye miaka 31 aitwaye Nia, ambaye amemfahamu Chris kwa miaka mingi. Nia na Chris wanadaiwa kuwa na maelewano lakini hawana uhusiano.
TMZ imedai kuwa Breezy anafurahia kuwa baba.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani