EL CLASICO...MATOKEO YA BARCELONA NA REAL MADRID BAO LA SUAREZ LAIPA USHINDI BARCA
TZ MZUKA
15:16
0

MSHAMBULIAJI LUIS SUAREZ NDIYE ALIKUWA SHUJAA KWA KUFUNGA BAO LA PILI BAADA YA BEKI JEREMY MATHIEU KUFUNGA LA KWANZA KWA KICHWA LAKINI CRISTIANO RONALDO AKAISAWAZISHIA REAL MADRID NA KUWAAMBIA MASHABIKI WATULIE YEYE YUKO KAZINI.