Jumba la kifahari la Diamond Platnumz, jiko,choo cha thamani ya milioni 70 viko hapa.
TZ MZUKA
06:56
0
Tumekuwa tukiona nyumba za mastaa wa nje ambazo huwa na vitu vingi vya kifahari kama mabwawa ya kuogelea, tv kwenye choo na mabafu na hata jikoni. Hii ni nyumba ya msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz iliyopo Dar es salaam maeneo ya Tegeta. Leo ametuonyesha Jiko, Sehemu ya kuogelea, na sehemu tofauti kwenye nyumba hio.
