LIVERPOOL 1 vs 2 MANCHESTER UNITED, JUAN MATA AITAKATISHA UNITED ANFIELD UNITED WAKIIBUKA NA USHINDI!
TZ MZUKA
08:57
0
Ushindi huu umewapandisha Man United
wakiwa nyuma ya pointi moja dhidi ya Timu ya Arsenal, United wakiwa na
pointi 59 na Arsenal 60. Liverpoo wao wamebakia hapo walipo wakiwa
nafasi ya tano na pointi zao 54 mbele ya pionti moja dhidi ya
Southampton ambao wanapointi 53.
Kipindi cha pili dakika ya 59 Juan Mata aliiongezea bao tena Man United baada ya kupewa krosi tamu na Angel Di Maria na Juan Mata kufunga bao kwa tiktaka kali na kufanya 2-0 Goli la liver pool lilifungwa na Daniel sturridge Mtanange huu ulimalizika Mtu 10 Uwanjani kwa Upande wa Liverpool baada ya Steven Gerrard kumfanyia rafu mbaya mchezaji wa United Ander Herrera na dakika za mwishoni dakika ya 90 Nahodha wa Man united Wayne Rooney alikosa mkwaju wa penati na mtanange kumalizika kwa matokeo ya 2-1 Man United wakiibuka Kidedea.
VIKOSI
Liverpool wanaoanza XI: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Henderson, Allen, Moreno, Sterling, Lallana, Coutinho, Sturridge
Akiba: Jones, Johnson, Toure, Gerrard, Lambert, Lucas, Balotelli
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Blind, Carrick, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney
Akiba: Valdes, Rafael, Rojo, Di Maria, Januzaj, A Pereira, Falcao