ALIKIBA NA CHRISTIAN BELLA WAINGIA STUDIO KUANDAA NGOMA MPYA
TZ MZUKA
11:33
0
Alikiba na Christian Bella waingia studio kuandaa ngoma mpya
Christian Bella na Alikiba wameingia studio kutengeneza ngoma ya pamoja.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, jana Christian Bella aliaandika:
Leo tunakesha studio na Ali Kiba maana mashabiki waliomba sana tuimbe pamoja kaeni makao wakula sasa.

