Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » ARSENAL ILIVYOITEKETEZA LIVERPOOL BAO 4-1


TZ MZUKA 10:10 0

 Baadhi ya  Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Ozil baada ya kuwafungia bao katika kipindi cha kwanza kilichomalizika 3-0, Liverpool wakiwa nyuma.
Kipindi cha pili dakika ya 76 Liverpool walifanikiwa kupata bao na kufanya 3-1 kwa mkwaju wa penati. Mpaka dakika 90 zinamalizika..Arsenal 4-1, Wafungaji ni Hector Bellerin 37, Mesut Özil 40, Alexis Sánchez 45, Olivier Giroud 90.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani