FULL TIME: MANCHESTER UNITED vs ASTON VILLA
TZ MZUKA
10:23
0
Ander Herrera Dakika ya 43 mwishoni mwa
kipindi cha kwanza kaifungia bao Man United na Mtanange kwenda mapumziko
ya bao 1-0 dhidi ya Aston Villa.
Wayne Rooney aliifungia bao Man United
dakika ya 79 kwa kufanya 2-0 akipata pasi kutoka kwa Angel Di Maria nao
Aston Villa walipata kona na kupata bao kwa kufanya 2-1 katika dakika ya
80 kupitia kwa Christian Benteke.Mwishoni kwenye dakika za nyongeza Ander Herrera aliongeza bao jingine na kufanya man-united kushinda goli 3-1