Baada ya miezi miwili ya mapenzi moto moto,Meek Mil na Nicki Minaj wapiga hatua nyingine.
TZ MZUKA
14:05
0
Rapa Nicki Minaj amewapa mashabiki wake kitu cha kuongelea weekend hii baada ya kuweka picha akiwa na mpenzi wake Rapa Meek Mil huku Nicki Minaj akiwa na pete kubwa ya uchumba kwenye kidole cha kushoto cha Pete.