Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » FC PORTO YAICHAKAZA BAYERN MUNICH , BAO 3-1


TZ MZUKA 14:24 0

FC Porto imeonyesha imepania kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Bayern Munich kwa mabao 3-1.


FC Porto ikiwa nyumbani imefanikiwa kuonyesha soka safi na kuwapa wakati mgumu  Munich walioambulia kipigo hicho.

Hata hivyo, Porto watalazimika kusubiri mchezo wa marudiano jijini Munich ili kujihakikishia nafasi ya kwenda nusu fainali.

Katika mechi hiyo kila timu ilicheza kwa kasi na kushambulia, lakini Porto ndiyo walizitumia nafasi zaidi kupitia kwa Ricardo Quaresma aliyefunga mabao mawili na Martnez akafunga moja huku Yhiago Alcantara akifunga bao pekee la Munich.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani