FULL TIME: CRYSTAL PALACE 2 vs 1 MANCHESTER CITY
TZ MZUKA
14:25
0
Jason Puncheon akishangilia bao lake la pili kwa City kwa kufanya 2-0 kipindi cha pili dakika ya 48.
Crystal Palace walienda mapumziko wakiongoza kwa bao la Glenn Murray la dakika ya 34 dhidi ya Wageni wao Man City.
2-0 dakika ya 48 mfungaji ni Jason Puncheon kipindi cha pili
Dakika ya 78 Yaya Touré alianza kurudisha bao kwa kufanya 2-1.
VIKOSI:
Crystal Palace Wanaoanza 11: Speroni, Ward, Delaney, Dann, Kelly, McArthur, Ledley, Puncheon, Zaha, Bolasie, Murray
Akiba: Hennessey, Hangeland, Souare, Boateng, Sanogo, Gayle, Ameobi
Manchester City Wanaoanza 11: Hart, Sagna, Kompany, Demichelis, Clichy, Navas, Fernandinho, Toure, Silva, Dzeko, Aguero
Akiba: Caballero, Zabaleta, Mangala, Milner, Fernando, Nasri, Lampard