Picha;Zari awaonyesha tumbo waliosema mimba ya kuigiza.
TZ MZUKA
01:43
0

Baada ya kuwa na uvumi kuwa mimba ya Zari ni kiki tu ,Boss lady huyu kutoka Uganda ameweka picha inayonyesha mabadiliko ya tumbo lake mpaka sasa.
Tags : Entertainment
Share !