Select Menu
Select Menu

Sports

Sports

Entertainment

Music

Video

News

Video

» » Hivi ndivyo mastaa hawa wakongwe wa soka ZIDANE, RONALDO NA OKOCHA walivyokutana


TZ MZUKA 03:04 0

 Wakongwe wa soka duniani jana usiku waliwafurahisha mashabiki wao katika mji wa St Etienne huko Ufaransa walipata bahati kubwa kuwaona magwiji hao soka wakipambana.
 Timu mbili za marafiki wa Zinedine Zidane na Ronaldo di Lima zilicheza mchezo uliokuwa na lengo la kupambana na umasikini ambalo hufanyika kila mwaka.

«
Next
Chapisho Jipya
»
Previous
Taarifa za zamani