New Music: Jaydee f/ Mazet & DJ Maphorisa – Give Me Love
TZ MZUKA
14:25
0
Judith Wambura “Jay Dee” Mbibo ameachia wimbo mpya ‘Give Me Love’
aliowashirikisha wasanii kutoka Afrika Kusini, Mazet pamoja na DJ
Maphorisa wa Uhuru ambaye pia ndiye ameproduce wimbo huu uliorekodiwa
Afrika Kusini. Video inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu.