New Music: Uhuru x Wizkid – Duze
TZ MZUKA
09:30
0
Kundi la Uhuru la Afrika Kusini linaloundwa na watu wanne limetoa wimbo
wao mpya uitwao ‘Duze’ ambao wamempa collabo staa wa Nigeria Wizkid.
Miongoni mwa wasanii wanaunda kundi hilo ni pamoja na Dj Maphorisa
ambaye alishirikishwa na kuproduce wimbo wa ‘Kaunyaka’ wa Chege na
Temba.