RATIBA - UEFA CHAMPIONS LEAGUE LEO JUMANNE
TZ MZUKA
09:34
0
LEO Jumanne Usiku Robo Fainali za UEFA CHAMPIONS LIGI zitaanza kwa Mechi mbili na moja ikiwa huko Jiji la Madrid, Spain ndani ya Estadio Vicente Calderon wakati Atletico Madrid watakapokuwa Wenyeji wa Mahasimu wao Real Madrid.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Jumanne Aprili 14
Atlético Madrid vs Real Madrid
Refa: Milorad Mažić (Serbia)
Uwanja: Estadio Vicente Calderón, Madrid, Spain
Juventus vs AS Monaco
Refa: Pavel Královec (Czech Republic)
Uwanja: Juventus Stadium, Turin, Italy
Jumatano Aprili 15
Paris Saint-Germain vs Barcelona
Uwanja: Parc des Princes, Paris, France
FC Porto vs Bayern Munich
Uwanja: Estádio do Dragão, Porto, Portugal